Changu Chako, Chako Changu
RFI Kiswahili
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Radios: RFI Kiswahili
Catégories: Culture et Société
Ajouter à ma liste
Écoutez le dernier épisode:
Épisodes précédents
-
221 - Utamaduni wa watu wa kabila la Waluo na Waluhya kutoka nchini Kenya Sun, 05 May 2024
-
220 - Maoni ya washiriki katika kongamano la idhaa za kiswahili duniani sehemu ya mwisho Sun, 21 Apr 2024
-
219 - Sehemu ya tatu ya Makala kuhusu kongamano la nne la idhaa za Kiswahili duniani Sun, 14 Apr 2024
-
218 - Kongamano la idhaa za kiswahili duniani, umuhimu wa kujifunza lugha ya Kiswahili Tue, 09 Apr 2024
-
217 - Kongamano la nne la idhaa za kiswahili duniani "Tasnia ya habari na ubidhaishaji Kiswahili duniani" Sun, 31 Mar 2024
-
216 - Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa sehemu ya pili Mon, 25 Mar 2024
-
215 - Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa Wed, 20 Mar 2024
-
213 - Historia ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani na namna ilivyosherehekewa mwaka huu wa 2024 Sat, 09 Mar 2024
-
212 - Maandalizi ya siku ya wanawake duniani ya March 08 Sat, 09 Mar 2024
-
211 - Umuhimu wa kujifunza lugha mama na changamoto zake katika maisha ya kila siku Sun, 25 Feb 2024
-
210 - Historia ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika CAN sehemu ya pili Sat, 24 Feb 2024
-
209 - Historia ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika CAN sehemu ya kwanza Thu, 15 Feb 2024
-
208 - Historia na tamaduni za watu wa kabila la wanyamwezi na msanii Miraculos Lop kutoka Burundi Sat, 03 Feb 2024
-
207 - Kumbukumbu ya historia ya mwanaharakati mtetezi wa uhuru nchini DRC Emery Patrice Lumumba Tue, 30 Jan 2024
-
206 - Utamaduni wa watu wa kabila la wabembe na mwanamuziki Naza kutoka Ufaransa Tue, 30 Jan 2024
-
205 - Historia ya siku ya kuwakumbuka mashujaa nchini DRC na Mwanamuziki TayC Tue, 30 Jan 2024
-
204 - Utamaduni wa kupenda kujifunza lugha na msanii kutoka Burundi Mistachampagne Sun, 28 Jan 2024
-
203 - Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2023 alizokukusanyia Ali Bilali Sat, 27 Jan 2024
-
202 - Historia ya kabila la Wadigo wa Kenya na Tanzania katika Makala Changu Chako na Florence Kiwuwa Tue, 28 Nov 2023
-
201 - Tamaduni za watu wa Katanga katika uchimbaji wa madini na msanii Masauti kutoka nchini Kenya Sun, 19 Nov 2023
-
200 - Utamaduni wa kabila la Wataita na mwanamuziki Hiro le Coq katika Makala haya ya leo. Mon, 13 Nov 2023
-
199 - Mwanahabari kutoka DRC ashinda Toleo ka kumi la tuzo Ghislaine Dupont na Claude Verlon Thu, 09 Nov 2023
-
198 - Historia ya siku ya kupinga dhulma dhidi ya wanahabari na utoaji wa tuzo ya Ghislaine Dupont Tue, 31 Oct 2023
-
197 - Siku ya kimataifa ya utamaduni nchini Kenya Octoba 10 Mon, 16 Oct 2023
Afficher plus d'épisodes
5