Afrika Ya Mashariki

Afrika Ya Mashariki

RFI Kiswahili

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

Écoutez le dernier épisode:

Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii.

Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua, na kukua huku ni kutokana na ongezeko la asilimia 7.3 kwa mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 9. 

Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania imechukua hatua muhimu ya kuhakikisha kwamba wawekezaji wakubwa na wadogo kwenye Sekta ya Madini wanaendesha shughuli zao kwa tija kwa kuwezesha mazingira wezeshi ya uwekezaji na upatikanaji teknolojia unaimarika, hii ni pamoja na kuendelea kuboresha miundombinu mbalimbali ambayo serikali imeamua kuimarisha kwa lengo la kuvutia uwekezaji na kuwezesha uwekezaji huo kuleta faida kwa kila mwekezaji.

Épisodes précédents

  • 149 - Namna wakazi wanaoishi karibu na migodi wanaweza kufaidika na shughuli hizo 
    Sat, 01 Feb 2025
  • 148 - Tanzania: Changamoto wanazokabiliwa nazo watu wenye Albinism mjini Mwanza 
    Wed, 22 Jan 2025
  • 147 - Safari ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar 
    Sat, 18 Jan 2025
  • 146 - Tanzania: Kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa 
    Sat, 16 Nov 2024
  • 145 - Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania 
    Fri, 08 Nov 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts actualités et politique français

Plus de podcasts actualités et politique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast