Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Écoutez le dernier épisode:

Makala ya leo yanaangazia Kikao cha viongozi wa Afrika, kilichotamatika rasmi mwishoni mwa juma lililopita nchini Ethiopia, mzozo wa DRC na Sudan ukigubika mijadala yao.

Hata hivyo vikao hivyo  vimekamilika  bila suluhu ya mizozo ya nchi zote mbili, ambapo vyongozi  waliishia kwa kutoa wito wa kusitisha mapigano. tulimuuliza msikilizaji iwapo anaridhika na matokeo ya kikao hicho na  anadhani nini cha zaidi viongozi hawa wangefanya kukomesha mizozo barani Afrika

Épisodes précédents

  • 909 - Kikao cha usalama wa DRC na Sudan chakamilika Ethiopia bila suluhu 
    Mon, 17 Feb 2025
  • 908 - Mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuzingatia usalama wa DRC 
    Thu, 13 Feb 2025
  • 907 - Kauli ya rais Donald Trump kuhamisha wapalestina yapingwa vikali 
    Wed, 12 Feb 2025
  • 906 - Hatua ya Kenya kuondoa mahojiano kwa waomba vitambulisho yaibua hisia mseto 
    Tue, 11 Feb 2025
  • 905 - Kauli ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu amani nchini DRC waibua maoni mseto 
    Mon, 10 Feb 2025
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts actualités et politique français

Plus de podcasts actualités et politique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast