Mjadala wa Wiki

Mjadala wa Wiki

RFI Kiswahili

Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.

Écoutez le dernier épisode:

Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayotakiwa kuandaa uchaguzi huo, haijawekwa wazi.

Épisodes précédents

 • 100 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023 
  Wed, 29 Sep 2021
 • 99 - Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022 
  Wed, 15 Sep 2021
 • 98 - Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika 
  Fri, 10 Sep 2021
 • 97 - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu 
  Wed, 25 Aug 2021
 • 96 - Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde 
  Thu, 12 Aug 2021
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts actualités et politique français

Plus de podcasts actualités et politique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast