Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Arts

Écoutez le dernier épisode:

Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi.

Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael. 

Épisodes précédents

  • 210 - Tanzania: Sanaa ya ushairi na msanii Michael James maarufu Michael 
    Sat, 28 Sep 2024
  • 209 - Tanzania: Muziki wa kizazi kipya kwa vijana 
    Sat, 21 Sep 2024
  • 208 - Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generation 
    Sat, 14 Sep 2024
  • 207 - Tanzania: Muziki wa kizazi kipya na Hussein Mussa Shundi Maarufu Rucky 
    Sat, 07 Sep 2024
  • 206 - Mwanza: Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince ndiye mgeni wetu wiki hii 
    Sat, 31 Aug 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts arts français

Plus de podcasts arts internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast