Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Musique

Écoutez le dernier épisode:

Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.

Épisodes précédents

 • 135 - Muziki Ijumaa - Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa 
  Tue, 23 Nov 2021
 • 134 - Muziki Ijumaa - Tambua vibao motomoto ndani ya makala haya 
  Tue, 23 Nov 2021
 • 133 - Muziki Ijumaa - Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki 
  Sat, 02 Oct 2021
 • 132 - Muziki Ijumaa - Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali 
  Wed, 15 Sep 2021
 • 131 - Muziki Ijumaa - Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia 
  Fri, 10 Sep 2021
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts musique français

Plus de podcasts musique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast