Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

Écoutez le dernier épisode:

Msikilizaji, juma moja lililopita, mawaziri kutoka karibu mataifa 50 duniani walikutana nchini Colombia kwa mkutano wa mazingira uliolenga kujadili mbinu za mataifa kuachana kikamilifu na nishati zinachafua mazingira ikiwemo gesi na mafuta.

Mjadala kuhusu mataifa kuachana na matumizi ya nishati chafu zinazochangia ongezeko la joto duniani, umekuwepo katika mikutano tofauti ya kimataifa ya mazingira, ikiwemo mikutano ya COP inayofanyika kila mwaka.

Épisodes précédents

  • 244 - Nchini Colombia, mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu mafuta ya visukuku 
    Tue, 12 May 2026
  • 243 - Jamii katika maeneo kame nchini kenya zawezeshwa ili kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi. 
    Mon, 27 Apr 2026
  • 242 - Sera za Mipango miji barani Afrika zinazingatia ustahimilivu wa majanga mijini? 
    Mon, 20 Apr 2026
  • 241 - Ukulima wa mianzi katika kutunza mazingira ya mito nchini Kenya. 
    Fri, 10 Apr 2026
  • 240 - Manufaa ya ardhi oevu ya Ondiri kwa jamii ya kikuyu 
    Wed, 01 Apr 2026
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts sciences et médecine français

Plus de podcasts sciences et médecine internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast