Talisman Brisé

Talisman Brisé

RFI Kiswahili

Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Éducation

Écoutez le dernier épisode:

Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....

Épisodes précédents

 • 42 - Talisman Brise - Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,. 
  Sun, 01 Jul 2012
 • 41 - Talisman Brise - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa 
  Sun, 24 Jun 2012
 • 40 - Talisman Brise - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar... 
  Sun, 17 Jun 2012
 • 39 - Talisman Brise - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar 
  Sun, 10 Jun 2012
 • 38 - Talisman Brise - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao.. 
  Sun, 03 Jun 2012
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts éducation français

Plus de podcasts éducation internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast