
Changu Chako, Chako Changu
RFI Kiswahili
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Radios: RFI Kiswahili
Catégories: Culture et Société
Écoutez le dernier épisode:
Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamasishaji kutoka nchini Kenya, ambae amejizolea umaharufu kupitia kile alichokiita tasnia ya uchawa, ambapo anaeleza kuwa chawa wa rais wa Kenya William Ruto na sasa ni chawa wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Kumbuka pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali
Épisodes précédents
-
251 - Historia ya maisha ya Cassypool hadi kuwa Chawa wa marais Tue, 11 Feb 2025
-
250 - Historia ya kabila la Wakalejin,Sanaa ya Kuigiza ya African Twist Pamoja na Historia yake Yemi Alade Sun, 26 Jan 2025
-
249 - Waskilizaji wa RFI kiswahili watakiana heri ya mwaka mpya kupitia Makala Changu Chako Thu, 16 Jan 2025
-
248 - Makala ya mwisho katika mwaka 2024, salamu wa wasikilizaji na msanii Isifiwe Kibangula Sun, 29 Dec 2024
-
247 - Historia ya kabila la Wamasai ,Sanaa ya Uchoraji na Historia ya Muziki wake Burna Boy Sun, 22 Dec 2024
-
246 - Historia ya Kenya kupata Uhuru pamoja na Maonyesho ya Sanaa ya Uchoraji Alliance Francaise Nairobi Sun, 15 Dec 2024
-
245 - Teknolojia yabadilisha muziki ,Ujio wake Msanii Sean Paul nchini Kenya Sun, 08 Dec 2024
-
244 - Hatuwa za mwisho za maandalizi ya tamasha la watu wa kabila la bashi la desemba 6 Sun, 01 Dec 2024
-
243 - Msani Olivier kutoka Bukavu azungumzia tamasha la watu wa kabila la washi Nov 24 2024 Sat, 23 Nov 2024
-
242 - Maandalizi ya Tamasha la watu wa Kabila la Washi kutoka Bukavu sehemu ya kwanza. Mon, 18 Nov 2024
-
241 - Shindano la filamu kwa kutumia simu ya Mkononi na msanii kutoka Mombasa Rojo Mo Sat, 09 Nov 2024
-
240 - Alliance Francaise ya Nairobi inavyoikuza sanaa ya uigizaji jukwaani sehemu ya kwanza. Mon, 04 Nov 2024
-
239 - Fahamu hapa kuhusu liliokuwa soko la watumwa nchini DRC Oct 20 2024 Mon, 04 Nov 2024
-
238 - Utamaduni wa ndoa kulingana na kabila la Wameru sehemu ya pili Oct 13 2024 Sun, 13 Oct 2024
-
237 - Utamaduni wa watu wa Kabila la Wameru kutoka nchini Kenya Sun, 06 Oct 2024
-
236 - Utamaduni wa ndoa kabila la wamakonde na wahangaza kutoka nchini Tanzania sehemu ya 2 Sun, 29 Sep 2024
-
235 - Utamaduni wa watu wa makabila ya wahangaza na wamakonde kutoka nchini Tanzania Sun, 22 Sep 2024
-
234 - Toleo la 11 la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon kutolewa huko Benin Mon, 26 Aug 2024
-
233 - Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa mahari kwa baadhi ya makabila barani Afrika Mon, 26 Aug 2024
-
232 - Changu chako chako changu Tasnia ya ulimbwende sehemu ya pili Tue, 13 Aug 2024
-
231 - Changu Chako Chako Changu tasnia ya ulimbwende sehemu ya kwanza Agost 04 2024 Sun, 04 Aug 2024
-
230 - Historia ya kabila la Wabukusu pamoja na sanaa ya muziki kutokea kwa Bendi ya An Noor Sun, 21 Jul 2024
-
229 - Matumizi ya lugha ya kiswahili katika enzi ya Kijiditali Tue, 16 Jul 2024