Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Gouvernement et ONG

Écoutez le dernier épisode:

Visa vya dhuluma dhidi ya wanawake vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara katika jamii mbalimbali barani Afrika na hata duniani,jambo ambalo limechangia sheria nyingi kuanzishwa kulinda wanawake,lakini hata hivyo dhuluma hizo zimeanza kuwakumba wanaume wengi kwa kunyanyaswa na kupingwa na wake wao.

Katika makala haya tunaangazia dhuluma za kijinsia dhidi ya wanaume shaba yetu ikilenga taifa la Kenya, ambapo mwanahabari wetu Victor Moturi alitangamana na wanaume ambao wamehangaishwa na kudhulumiwa kwenye jamiii nchini Kenya hasa eneo la Magharibu.

 

Kufahamu mengi skiza makala haya.

 

 

 

Épisodes précédents

 • 277 - Kenya : Wanaume wanapitia dhuluma za kijinsia kwenye ndoa, ila wamesalia kimya 
  Wed, 10 Jul 2024
 • 276 - Sudan Kusini inakabiliwa na hali ya binadamu kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi 
  Sat, 06 Jul 2024
 • 275 - Kenya : Haki ya raia kuandamana kufikisha ujumbe kwa serikali 
  Tue, 25 Jun 2024
 • 274 - Amnesty International : Adabu ya kifo imeongezeka zaidi duniani 
  Tue, 18 Jun 2024
 • 273 - Kenya : Haki za watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi wanataka kutambuliwa zaidi 
  Mon, 17 Jun 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts gouvernement et ong internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast